@wazazi

Learn more about other poetry terms

Salaam kwako baba, Nakusalimia baba, Mimi Ali Muya baba, Nipe yangu marahaba, Baraka nitie baba, Moyo wangu uwe shaba, Kwako hayo yako mahaba, Leo nimekuwa baba.
Subscribe to @wazazi