Poems from Husna Chikwela
Kitabu cha Kamusi,
Kimepangwa mahususi,
Huongea kiuharisi,
Uelewe kiurahisi.
Kina maana ya matamshi,
Chenye uzuri wa maandishi,
Hueleza...
People maried by chain, other maried by rings,
Maried by bride price, other agree each other,
Boys paid on it, some girls paid on it....
Kiberiti kiloshika, Sasa kimeharibika,
Cha baki kuhangaika, Njiti zazidi chomoka,
Umoja ulioshika, Umezidi kuponyoka,
Upendo ulisikika,...
Mda ule wa gizani, Mtoto haonekani,
Watu wako mlangoni, Kufahamu jinsi gani,
Mwezi huoni gizani, Hawana matumaini,
Wamekaa nje ndani, Zidi...
Work with alot of money,
Keep someone to become crazy,
Sand someone to become crazy.
It needs time and harry,
Stolen when not become...