Shairi Freestyle

Sura ya kutisha kama bawabu wa makaburi, mistari zina-miale zinatemwa kama mikuki
hila usifadhaike piga moyo konde unapofika mchangani utapiga kifo makonde ziraili watanena hili mtu pandikizi na bonge pengine tumtumie grim-reaper hili amnyakue moyo akitembea na panga makali na refu wenye kuwaka moto lakini kabla jitafakari maisha duniani nini tamu kama biriani? nini cha maana ulicho fanya? basi kumbuka,kabla hujijibu,jaza haba na haba baadaye ukule fanaka na uzibe zile kuta zinaonyesha dalili za ufa sababu kujenga kuta lina dhamani la uhai na fedha

This poem is about: 
Me

Comments

Additional Resources

Get AI Feedback on your poem

Interested in feedback on your poem? Try our AI Feedback tool.
 

 

If You Need Support

If you ever need help or support, we trust CrisisTextline.org for people dealing with depression. Text HOME to 741741